jamaa anaejishughulisha na maswala ya upakaji rangi katika majengo ya hapa mjini akiwa mzigoni,daah ila nimeipenda kweli hii staili yake ya ukaaji hapo katika ngazi yaani namuonea gere kweli kweli jinsi anavyobembea.
No comments:
Post a Comment