HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, January 27, 2010

Haya Yote Ni Maisha

nyumba hii iko hapa hapa mjini maeneo ya Ilala Bungoni na kuna watu wanaishi humo ndani,pamoja na kwamba bati zake zimechoka sana na zingine kutokuwepo lakini maisha yanaendelea kama kawaida.sasa sijui na hivi mvua zetu zisizo na msimu zikianza kunyesha katika nyumba hii huwaga kuna kuwaje??

3 comments:

  1. Mvua zikinyesha si wanahamia guest, we haujiulizi guest zote hizi Dar wanalala wageni tu! Km unataka kuthibitisha fanya survey ya guest hata 5 tu km sample ya utafiti wako uone jinsi wageni walivyoandika kwny daftari la wageni! Kutoka: Dar, Kwenda: Dar, kabila: Mzaramo, sasa hapo mi ndo nachoka, km mtu anaishi Dar, kwenye nyumba ya wageni anafanyaje!

    ReplyDelete
  2. Tanzania bora ya Jana huku nyumba ya Gavnna Billion 1.25

    ReplyDelete
  3. Tanzania bora ya Jana huku nyumba ya Gavnna Billion 1.25

    ReplyDelete

Post Bottom Ad