HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, December 1, 2009

Zimefika Hapo!!

hakuna ishara ya aila yeyote ile inayoonyesha kama zimesimama
hizi ni baadhi ya ndinga zinazobeba taka hapa mjini na kiukweli ni gari zinazopendeza kimuonekano wa nje lakini ndani mungu ndie anaejua maana haziongeleki kwa jinsi zilivyo mbovu,sasa ona kama hapa zilipo zimesimama katikati barabara tena barabara yenyewe ni kubwa na wala si ya uchochorini,halafu hakuna ishara yoyote ya kuonyesha kama zimesimama kwa sababu gani.je anaekuja nyuma atajuaje kama hizi gari hapo zilipo zimeharibika na wakati hajapewa tahadhari toka huko atikako??

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad