
wanafunzi wa shule ya Msingi Juhudi iliyopo Wilaya ya Kigoma Vijijini mkoani Kigoma nchini Tanzania wakiwa darasani.hii inaonyesha ni kiasi gani hali ni mbaya katika maeneo mengi ya vijijini,viongozi husika mnaliona hili lakini??
picha na Mch. Emmanuel Bwatta wa Kanisa la Anglikana Kigoma
No comments:
Post a Comment