
Wakazi wa mji wa Zanzibar wakiwa katika foleni ya maji juzi katika eneo la Bwawani Msikiti Mabluu, baada ya kukumbwa na shida hiyo kutokana na kukosekana kwa huduma ya umeme na kufanya usambazaji wa maji kusimama katika maeneo mbalimbali na baadhi ya watu kulazimika kutumia maji ya siyo salama,ambayo pia huuzwa kwa kiasi cha sh. 500/= kwa dumu moja.kitu ambacho ni hatari sana kwa maisha ya wakazi hao. Picha na Said Powa/Zanzibar
No comments:
Post a Comment