HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, December 15, 2009

Duuhh!! Hii Ni Noma Sana

waziri mkuu wa Italy akiwa hoi mara baada ya kuvamiwa na kupigwa na jamaa aliesadidikika kuwa alikuwa na ugonjwa wa akili.daah inasikitisha sana hali hii tena ukizingatia huyu ni kiongozi mkubwa sana katika Taifa hilo la Italy.sijui wale jamaa hakuishtukia hii inshu??
Huyu ndio jamaa aliempa kichapo waziri mkuu wa Italy ambaye baadae alikuja kugundulika kuwa aliwahi kuugua ugonjwa wa akili.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad