
Mdau Meshack Maganga wa Chuo Kikuu Cha Tumaini University campas ya A-town akiwa pamoja na rafiki yake afahamikae kwa jina la Ester walipokuwa katika bichi ya Duluti iliyopo huko huko A-town,ikiwa ni katika maandalizi ya sikukuu ya Xmas pamoja na Mwaka mpya,Mdau Meshack pamoja na rakifie huyo wanapenda kutoa salamu zao za dhati kabisa kwa wadau woote wa Mtaa wetu huu popote pale walipo heri ya Xmas pamoja na makaribisho mema ya Mwaka mpya wa 2010.
No comments:
Post a Comment