
niko zangu ndani ya chombo tayari kwa safari ya nanihii nilikoalikwa kwenda kula sikukuu ya mwaka mpya.haya wadau nami naomba niwatakieni sikukuu njema ya mwaka mpya wa 2010 kwani huu tulio nao ndio unayoyoma hivyo.mwaka mpya mwema jamani,ningewaalika na nyinyi huku lakini wameniambia niende peke yangu maana msosi wenyewe ndio hivyo tena.
No comments:
Post a Comment