
kivuko cha Mv. Kigamboni kikiwa kimekula shazi lamaana kutokea Kigamboni kuja Bongo,kivuko hiki sasa hivi kiko poa sana mara baada ya kupotea kwa muda kwa matengezeno na sasa kimerejea kwa spidi ya ajabu,maana kinapiga mzigo kweli kweli sasa hivi tofauti na hapo awali.
No comments:
Post a Comment