nilikuwa safarini kidogo kuelekea mji kasoro bahari (Moro) na safari yetu ilianza kutupotezea mwelekeo hapa mara baada ya tairi moja ya nyumba kupasuka vibaya vibaya (ilibabasti) na kutufanya tufunge spea tairi. haya yalikuwa ni maeneo ya Kiluvya,na hapa mdau Hassan akifanya utaratibu wa kuweka traiengo ili kutoa ishara kwa gari zinazokuja nyuma yetu.
No comments:
Post a Comment