huu ndio muonekano wa daraja jipya la Ruvu linavyoonekana sasa baada ya kutengenezwa.hakuna foleni tena sasa hivi kama ilivyokuwa hapo awali katika daraja la zamani linaloonekana hapo chini upande wa kushoto.
No comments:
Post a Comment