HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, December 29, 2009

Rachel Doba Na Rose Chitala Mko Wapi??

Hi,

Msaada tutani Pliiiiizzzzzzz .........
kuna watangazaji fulani hivi wa Radio One Stereo sijawasikia siku nyingi. Nao ni Rachel Doba na Rose Chitala. Wako wapi siku hizi? Mwenye habari atuhabarishe waungwana.

Ni mimi mdau wa Blog

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad