
hiki ni kikosi cha Yanga vijana kutoka mtaa wa jangwani na twiga street,Je wataendeleza uteja wao kwa watani wao wa jadi au wataamua kufanya kweli leo??

hiki ni kikosi cha Simba S.C kutoka mtaa wa Msimbazi street,hawa jamaa wamekuwa wakiwapa sana dozi watani zao wa jadi.sasa sijui leo pia ubabe huo utaendelea au nao watafanywa kama walivyofanywa Tasker na Mafunzo?? yote tisa kumi dakika 90 na kipenga cha mwisho.
Yanga kwa namna yoyoye hawezi kuifunga Simba hata wafanye tambiko la namna gani
ReplyDeleteAnonymous December 24,2009 3:20 pm
ReplyDeletesijui umejificha wapi sasa hivi ndugu yangu na maneno yako hayo machafu,nahisi aibu imekuganda ile mbaya.wewe ulifikiri mungu ni wenu peke yenu??au ulijua kila siku ni jumapili??sasa kwa taarifa yako wale ndio yanga wa kweli sasa si umeona walivyowapeleka peleka leo??
nyinyi mpira hamjui ila majungu tuuu.muone kwanza