
Kutokana na kubakiwa na muda mfupi wa kumalizika kwa zoezi la usajili wa namba za simu za mikononi,wakazi wengi wa jiji la Dar wamekuwa wakijitokeza kwa wingi kusajili siku zao kutokana na kuogopa kupata bughudha hapo baadae.zoezi hili la usajili wa namba za siku limepangwa kumalizika tarehe 31/12/2009 ambapo baada ya hapo hakutakuwa na zoezi hilo tena.hiki ni moja ya vituo vya usajili wa namba hizo kwa upande wa mtandao wa TiGo katika kituo cha Magomeni Mapipa kama kilivyonyakwa na Mzee wa Mtaa Kwa Mtaa asubuhi ya leo.
No comments:
Post a Comment