
Gari zote hizi zinasubiria kupima uzito wa tani zilizomo ndani yake,hapa ni Mikese nje kidogo ya mji wa Morogoro ambapo ndipo ilipo Mizani ya kupimia uzito wa Magari haya.kipande hiki cha ambacho ndipo ilipo Mizani inalazimika kutumika kwa upande mmoja tu wa barabara ili kupita kwa Magari mengine yasiyo na ulazima kwa kuingia Mizani hapo.
Asante sana kwa picha nzuri sana kama hizi, yaani mkuu unanikumbusha sana tena sana maskani,tena ukizingatia hiyo barabara ni mwenyeji sana, naijua hata kwa kufumba macho, nimeipita sijui mara milioni ngapi, natamani hata nirudi leo hii. Hongera zangu nyingi sana kwako kwa kuteletea mapichaz. Na ninafurahi sana tena sanaaaa.....kwa moyo wangu woteee!!!!
ReplyDeleteAsante sana.
CHIBI.