HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, December 20, 2009

Mdau Jane Ngowi Alamba Nondozz Yake Katika Chuo Kikuu Kishiriki Cha Elimu Dar Es Salaam

Dada Jane Ngowi akiwa ni mwenye furaha sana mara baada ya kulamba Digrii yake ya Bachelor of Arts with Education katika Chuo kikuu kishiriki cha Elimu cha Dar es salaa University College of Education

Dada Jane akimuonyesha kitu rafiki yake waliokuwa wakipiga buku pamoja
wakuu wa chuo kikuu kishiriki cha Dar es Salaam University College of Education wakiwa katika maandamano ya kutoka chuoni hapo mara baada ya kumalizika kwa shughuli nzima ya kutunuku wahitimu vitivo mbali mbali ikiwa ni mahafali ya pili kufanyika chuoni hapo jana. brassBand kutoka Jeshi la kujenga Taifa ndio iliyokuwa ikiongoza kusherehesha shughuli nzima katika mahafali hayo hapo jana.
yaani ilikuwa ni furaha kwa kila muhitimu kwa siku ya jana chuoni hapo.
Dada Jane (kati) na rafiki zake
Dada Jane akiwa na Baba yake mzazi mzee Amani Ngowi (kulia) pamoja na kaka yake Keneth Ngowi wakifurahi kwa pamoja.
Dada Jane akiwa na kaka zake wakifurahi kuona dada yao kalamba kitu cha ukweli katika mahafali ya pili ya chuo kikuu kishiriki cha Elimu cha Dar es Salaam University College of Education yaliyofanyika hapo jana katika viwanja vya chuo hicho.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad