haya yote yapo katika barabara ya Morogoro rodi,ambapo mpaka leo hii ni kama mwezi hivi na ushee yako katika hali hii na hakuna ishara yeyote inayoonyesha kama hapa kuna handakizz.sijui wenye kuhusika na mambo haya wako wapi??
Hatujui labda kuna vita karibuni ndio maana mahandaki yanazidi, Mungu atunusuru.
ReplyDelete