HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, December 2, 2009

Majembe Auction Mart Waanza Kula Sahani Moja Na Madaladala

Wafanyakazi wa Kampuni ya Majembe Auction Mart wakikamata Daladala iliyovunja sheria katika kituo cha Daladala cha Mwenge jijini Dar es Salaam jana, baada ya kampuni hiyo kupewa jukumu na Mamlaka ya usafirishaji nchi kavu na majini Sumatra kukamata daladala zinazokiuka taratibu za usafirishaji. Picha na Salhim Shao

1 comment:

Post Bottom Ad