HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, December 19, 2009

JB Mpiana Na Tshalla Muana Wafanya Kweli Ubungo Plaza

Jibee Mpiana akiimba moja ya nyimbo zake mbele ya mashabiki lukuki waliofika kuona shoo hiyo iliyoandaliwa na kampuni ya sigara kupitia kitu chao cha Club E usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Ubungo Plaza.
Jibee akiyarudi magoma pamoja na madansa wake.
madansa wa Jibee Mpiana wakikamua vilivyo mbele ya mashabi wako waliohudhulia shoo yao iliyofanyika usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Ubungo Plaza.
Mamaa Tshalla Muana nae hakuwa nyuma katika kuonyesha makeke yake.
wacheza shoo wa Tshalla Muana wakifanya vitu vyao
Wageni waalikwa toka sehemu mbalimbali wakilifutitilia onesho la Jp Mpiana kwa umakini usiku wa kuamkia leo ndani ya ukumbi wa ubungo plaza
wapenzi wa muziki wa Dansi wafurahia shoo ya JB Mpiana pamoja na Mwanamama Tshalla Muana katika ukumbi wa Ubungo Plaza usiku wa kuamkia leo.kwa mapicha zaidi zama kwatika wanja hili HAPA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad