
Kijana anayesadikiwa kuwa ni kibaka wa simu, akijaribu kuzuia sikio lake la kushoto ili yasikatwe kwa panga, baada ya kukamatwa kwa kupora simu ya mkononi eneo la Magomeni Dar es Salaam jana, na kutishia watu kuwakata kwa panga alilokuwa amelificha kiunioni wakati akijaribu kujihami kabla ya kuzindiwa nguvu. Kijana huyo aliokolewa na Askari maalumu wa kikosi cha kupambana na ujambazi. Picha na Saidi Powa
No comments:
Post a Comment