
Mama Asia Idarous akiwa na Mzee wa Libeneke Mkuu Issa Michuzi walipotembelea Kituo cha kulelea Watoto Yatima kiitwacho New Life Orphans home kilichopo Kigogo jijini Dar

Mbunifu wa mavazi hapa bongo,Mamaa Asia Idarous Hamsini toka Fabak Fashions leo mchana ametoa msaada wa vitu mbalimbali zikiwemo nguo,viatu na vifaa vya shule kwa kituo cha kulelea watoto yatima kiitwacho New Life Orphans home kilichopo Kigogo jijini Dar,Mama Asia aliambatana na Mzee wa Libeneke wa
Glogu ya Jamii mkuu Issa Michuzi pichani kulia wakiwa na watoto wa kituo hicho,ambao walishukuru sana kwa msaada huo.
Mbona watoto wote wamevaa hijabu vipi ni kituo cha kulelea watoto wa Kiislamu tu? mbona pale Mburahati wale Masista wakatoliki wanalea watoto wowote bila kujali dini zao. Ni swali tu, sababu naona watoto wote wamevaa hijabu sasa sijui ndiyo bongo sasa hipo hivyo au la....
ReplyDelete