HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, December 12, 2009

Dar Mpaka Moro

ndinga zikitabaruku katika barabara kuu iendando Morogoro kutokea jiji la Dar,yaani ukishaingia huku basi yale mambo ya mafoleni hata huyakumbuki tena.
huku mtu akiwa analemba lemba anapigwa ovateki na kuachwa kabisa,yaani huku ni mwendo mdundo tuu.

1 comment:

  1. Hapa ndugu Othman ndio napofurahi mieeeeeeee siku zengine unawalalamikia wanao overtake Leo ume overtake unashangilia hahahahaa. huoni hapo aliyenyuma ya Bus kakosea angesubiri aone Bus limepita?.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad