
Dada Adina Edward akitabasamu mara baada ya kula Nondozz yake ya Bacherol Of Public Adminstration in Public Service Management katika chuo kikuu cha Mzumbe University hapo jana

Adina akiwa katika pozi na Aunt yake

Adina na rafiki yake waliekuwa wakisoma pamoja

mie pia sikuwa nyuma kutoa ka zawadi kangu kwa Dada Adina

Adina akiwa na wazazi wake mara baada ya Mahafali kumalizika Chuo kikuu cha Mzumbe.

Adina akipongezwa na kaka yake Hassan mara tu baada ya kulamba Nondozz yake hapo jana

Adina akiwa katika picha ya pamoja na Familia yake.Blog hii inampongeza sana Dada Adina Edward kwa kufanikiwa kupata Degree yake ya kwanza ya Bacherol Of Public Adminstration in Public Service Management katika chuo kikuu cha Mzumbe University,kiukweli ni wengi wanapenda kufikia hapa alipofikia Dada yetu huyu lakini kwa namna moja ama nyingine inashindikana kufikia hapa.kiukweli kabisa Dada Adina anastahili sana kupongezwa kwa hili alilopata sasa.Hongera sana Dada Adina.
No comments:
Post a Comment