HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Thursday, November 19, 2009

Zain Yainogesha Fiesta Hisani

Meneja huduma kwa jamii wa kampuni ya simu za mikononi ya Zain Tunu Kavishe akisisitiza jambo kwa watumiaji wa mtandao wa Zain katika kilele cha tamasha la Fiesta one love.
Meneja huduma kwa jamii wa kampuni ya simu za mikononi ya Zain Tunu Kavishe akimkabidhi mtangazaji wa Clouds Fm Ephrahim Kibonde (kwa niaba ya Clouds Media Group),makao makuu ya Zain,kifurushi kama zawadi kwa ajili ya kuwapa watoto yatima na waishio katika mazingira magumu,huo ukiwa katika mchakato mzima wa kauli mbiu ya FIESTA HISANI,mchakato huo umefanyika jana ikiwa ni sehemu ya kuelekea kwenye kilele cha tamasha hilo.Kampuni ya Zain ni moja ya wadhamini wa tamasha la fiesta one love linalotarajia kufanyika keshokutwa,jumamosi katika viwanja vya posta,kijitonyama jijini Dar.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad