
Kama ni kijana, Umri wa Kati, mzee na upo Tanzania au nje ya Tanzania MK Music Galaxy ni chaguo lenu wote, Kuna miziki kama Bongo Flava, Bongo Dance, Taarab, Zilipendwa na Nyimbo za Injili.Karibu kusikiliza ngoma za Tanzania na uburudike roho yako. MK Music Galaxy hatufuti Miziki ili kuongeza mingine, MK Music Galaxy tunaongeza Miziki kila siku na kuutangaza Mziki huu wa Kitanzania.
Kwa wanamziki chipukizi (underground) na wale wakongwe mnaweza kutuma kazi zenu hapa na kuweza kujitangaza na kuutangaza Mziki huu wa Tanzania.Kwa test bonyeza hapa kula song hizi Kali. Au Tembelea MKMG kusikiliza miziki zaidi ya 1000

No comments:
Post a Comment