Hapo kwakutizama Screen Mbele unaelekea Mjini Samora. Huku kwangu unatokea Uhuru na Msimbazi. Lumumba kushoto na Kulia Kama unaenda Gerezani kama sijakosea ila hapo katikati Lazima watengeneze kama Kijitofali kubwaaa ambalo Trafik anasimama kufanya kazi yake kiwe au ki Round about ila muda mwengine Trafik anasimama hapo. unaonaje Ndugu yangu Othman Torres?.
Munazi Mumoja
ReplyDeleteHapo kwakutizama Screen Mbele unaelekea Mjini Samora. Huku kwangu unatokea Uhuru na Msimbazi. Lumumba kushoto na Kulia Kama unaenda Gerezani kama sijakosea ila hapo katikati Lazima watengeneze kama Kijitofali kubwaaa ambalo Trafik anasimama kufanya kazi yake kiwe au ki Round about ila muda mwengine Trafik anasimama hapo. unaonaje Ndugu yangu Othman Torres?.
ReplyDelete