Dudu Baya akiwa na Produecer wake Juse wa huko nchini Finland
Dudu a.k.a Mamba akiwa ndani ya studio moja hivi pande za Finland
Dudu Baya akiwa kapozz na producer wake anaefahamika kwa jina la Jane,akipokuwa pande za Finland hivi karibuni.Dudu baya kwa sasa kesharejea home na baada ya kupiga bonge moja la Tour huko nchini Finland.
No comments:
Post a Comment