
inakuaje mkubwa. ebwana hizi pics ni timu ya wanafunzi wa kitanzania hapo tupo tizi tunajiaandaa na mashindano ya vyuo vikuu ya kuwakilisha nchi. huu mji unaitwa PUNE. halafu me (mwenye jezi ya stars) ndo katibu wa jumuiya ya wanafunzi, jumuiya inaitwa TASA-PUNE.. kama zimekaa njema we zirushe hewani mkubwa, aminia mkuu wa libeneke.
No comments:
Post a Comment