HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Saturday, November 7, 2009

Wadau Wa Kijiji Cha FotoBaraza.Net Wakutana Leo Dar

Babukadja Sankofa (kulia) ambaye ni mwanzilishi wa kijiji cha FotoBaraza.Net akiwa na mdau mmoja wapo wa kijiji hicho,mdau Araway.waendeshaji wa kijiji cha FotoBaraza.Net Michuzi Jr (kati) pamoja na Babukadja (kulia) wakiwa na wadau wa kijiji hicho.ambao ni Fatna na Haika.Wadau wa FotoBaraza.Net wakifurahi kukutanaWadau wa FotoBaraza.Net wakifurahi kukutanaWana FotoBaraza wakijadili mambo mbali mbali walipokutana leo pale Msasani Beach Club

WADAU WA KIJIJI CHA JIRANI CHA FotoBaraza.Net WAMEKUTANA LEO PALE MSASANI BEACH CLUB KWA MADHUMUNI YA KUFAHAMIANA LAIVU LAIVU NA KUJADILI MAMBO MBALI MBALI YANAYOHUSU KIJIJI HICHO IKIWA NI KUTOKANA NA KUWA WANAKUTANA NA KUFAHAMIANA MTANDAONI KILA SIKU.BLOG YA MTAA KWA MTAA INAKIPONGEZA KIJIJI HICHO CHA JIRANI CHA FotoBaraza.Net KWA KUONYESHA UMOJA WAO HUO. 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad