baada ya kazi ukijiona umechoka,basi unaruhusiwa kuangusha gari mahala popote pale utakapojisikia,kama anavyoonekana msela huyu.
Jamani!,hata kama mtu umefanyakazi na kuchoka ndio u-beep kifo namna hii!?,hapo akigongwa na treni na kujeruhiwa atakuwa na kesi ya kujibu kwani yeye ndio atashitakiwa kwa kuigonga treni.Labda afe ili kesi isiwepo kabisa.
ReplyDeleteMdau-India.