HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, November 10, 2009

Muonekano Wa Baadhi Ya Miji Mikuu Duniani

Rio De Jeneiro,Brazil
Paris,Ufaranza
Niagara Faills,Canada
Toronto,Canada
London,Uingereza
?????????????.
("jamani hapa jamaa alienitumia picha hizi naona alisahau kutaja jina lake,ila kwa muonekano huu na kwa uzoefu nilionao wa kujua maeneo,nafikiri itakuwa ni nanihii tuu kama sijakosea")

2 comments:

  1. Bila shaka ni jiji letu la Dsm, lenye giza zito, kutokana na ukosefu wa umeme! uliosababishwa na mafisadi kurichmond visenti vyote!

    ReplyDelete
  2. Ndugu Othman, pole kwa kazi kaka. Ni vema ukawa unaonyesha source ya hizo picha maana sasa naona unafanya copy and paste.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad