HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, November 30, 2009

Sabrina Juma Alamba Kanondozz Kake Katika Shule Ya African Nursery & Primary school

Mtoto Sabrina Juma akiwa katika pozi za picha.
Mtoto Sabrina akipokea zawadi toka kwa Mama yake anaefahamika kwa jina la Amina.
Mtoto Sabrina akipokea zawadi toka kwa mwalimu wake wa Darasa.Sabrina amefanikiwa kupiga hatua moja mbele baada kumaliza masomo yake ya top class na kwenda Standard 1 katika shule ya African Nursery & Primary school iliyopo tabata chang'ombe.
baadhi ya wanafunzi wa shule ya African Nursery & Primary school iliyopo tabata chang'ombe wakiwa wamekaa wakisubiria kulamba nondozz zao baada ya kuhitimu elimu ya Top class na kuendelea na Standard one,ambapo Sabrina Juma ni mmoja kati ya wahitimu haoWakuu wa shule ya African Nursery & Primary school wakiwa wamekaa meza kuu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad