
Mwanamuziki Dapo Daniel Oyebanjo a.k.a D'Banj akichenguana na mabinti kutoka kampuni ya sigara (TCC),mara baada ya kutua mchana wa leo katika uwanja wa ndege wa J.K.Nyerere.

D'Banj (kati) amewasili nchini leo mchana kwa ndenge ya shirika na Ethiopian Airline kwa ajili ya shoo moja matata sana itakayofanyika siku ya jumamosi katika viwanja vya Tanganyika Pakers ambapo yeye pamoja na wasanii kadhaa wa hapa nchini watafanya makamuzi ya kufa mtu siku hiyo.
No comments:
Post a Comment