Marehemu Bernard Japhet Lema enzi za uhai wakeJumuiya ya wanafunzi wa Hyderabad, India (TSAH) inasikitika kutangaza kifo cha mwanafunzi mwenzao, Bernard Japhet Lema (23) kilichotokea tarehe 24/11/2009 katika hospitali ya Apollo jiji hyderabad. Marehemu alipata ajali ya pikipiki tarehe 21/11/2009 na kukimbizwa hospitali.
Ijapokuwa sisi tulimpenda sana lakini Mungu alimpenda zaidi.
Tunatoa pole kwa familia, ndugu jamaa na marafiki wa marehemu.
Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema.
Amina

big up kaka...
ReplyDelete