
Mtaa kwa Mtaa leo mdau wako nimechanja mpaka pande ya Island jiji la Reykjavik,nchi ndogo moja kati ya nchi tajiri bara la ulaya,hebu weka hapa mtaani ili wadau pia waweze kuona mitaa ya huku majuu.kuna vivutio vya kila aina katika jiji hili na serikali inavienzi na ndio maana wanapata watalii wengi sana siku zinavyokwenda mtaa nitavimwaga.
Mdau wa Mtaa Kwa Mtaa.
sio island ni iceland
ReplyDelete