Dah! kama mazoezi yenyewe ndio hayo mbona balaa tupu!,manake hiyo mikono mahali ilipo ni maeneo ya starehe za watu,sasa sijui kama wenye mali zao wanafahamu kama girlfriends/wake/wachumba zao wanafanyishwa mazoezi na kushikwa maeneo yao ya kujidai. Mdau.
Dah! kama mazoezi yenyewe ndio hayo mbona balaa tupu!,manake hiyo mikono mahali ilipo ni maeneo ya starehe za watu,sasa sijui kama wenye mali zao wanafahamu kama girlfriends/wake/wachumba zao wanafanyishwa mazoezi na kushikwa maeneo yao ya kujidai.
ReplyDeleteMdau.
Uwalimu mimi No
ReplyDeletehaswa kama wanafunzi wanabinjuka dizaini hii balaa tupu
duh!
ReplyDeletehayo mazoezi balaa lol!
mbona sasa ameingiza vidole kule lol hahahhaha.