Huyu mbwa anastahili zawadi ya kipekee kabisa kwa kazi nzuri aliyoifanya.Naamini kabisa kuna matukio mengi tu ya aina hii hapa duniani.Hivyo basi hili tukio la fumanizi la aina yake liwe fundisho tosha kwa wanandoa wasiowaaminifu katika viapo vyao vya ndoa. Mdau-INDIA.
ha ha ha jamaa kafumaniwa !
ReplyDeleteHuyu mbwa anastahili zawadi ya kipekee kabisa kwa kazi nzuri aliyoifanya.Naamini kabisa kuna matukio mengi tu ya aina hii hapa duniani.Hivyo basi hili tukio la fumanizi la aina yake liwe fundisho tosha kwa wanandoa wasiowaaminifu katika viapo vyao vya ndoa.
ReplyDeleteMdau-INDIA.