
Kwa maana hiyo sherehe ya sikukuu ya Eid el Hajj itakuwa mwezi wa 10 Dhul Hajj sawa na Tarehe 28/11/2009.
Sala na Baraza la Idd kitaifa zitafanyika katika msikiti wa Alfarouq uliopo Bakwata Makao Makuu Kinondoni Dar es alaaam , kuanzia saa 1.30 asubuhi na kufuatiwa na Baraza la Idd hadi saa 3.00 asubuhi.
Baraza kuu la Waislamu wa Tanzania BAKWATA linawatakia Eid njema waislamu wote na watanzania kwa ujumla
Imetolewa na
Sheikh Ismail Habib
KAIMU MUFTI WA TANZANIA
No comments:
Post a Comment