HABARI ZILIZOIFIKIA BLOG YETU HII HIVI PUNDE TOKA SAME MKOANI KILIMANJARO,ZINARIPOTI KUWA WATU WAPATAO KUMI NA MBILI WAMEPOTEZA MAISHA NA WENGINE KADHAA KUPOTEZA MAKAZI BAADA YA MVUA KUBWA KUNYESHA NA KUSABABISHA MAFURIKO MAKUBWA SANA YALIYOPELEKEA NYUMBA NYINGI KUBOMOKA NA KUSABABISHA MAAFA MAKUBWA.
MDAU WA MTAA KWA MTAA YUKO PANDE HIZO ZA TUKIO NA ATATULETEA HABARI KAMILI HAPO BAADAE,HIVYO TUVUTE SUBIRA.

No comments:
Post a Comment