HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Tuesday, October 27, 2009

Mdau Jaffary Katuletea Hivi Toka Kibiti

Stendi kuu ya mabasi Kibiti,Rufiji
Bar za yale mambo mambo yetu pande za huko Kibiti
Washkaji wakipata ile mambo roho inapenda
Barabara ya kuelekea Ikwiriri,yaani siku hizi lami mpaka mlangoni.
Njia ya kuelekea Utete
Magengeni
Kibiti sokoni (soko lipo nyumba ya hilo jengo)
njiani kuelekea Kibiti wilayani Rufiji kwa vekesheni ya wikiendi.(picha zote na Mdau Jaffary)

2 comments:

  1. at least umeweka taswira za nyumbani,asante mjomba.tuletee taswira zaidi za utete rufiji......

    ReplyDelete
  2. home sweet home,nakuzimia mimi.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad