Stendi kuu ya mabasi Kibiti,Rufiji

Bar za yale mambo mambo yetu pande za huko Kibiti

Washkaji wakipata ile mambo roho inapenda

Barabara ya kuelekea Ikwiriri,yaani siku hizi lami mpaka mlangoni.

Njia ya kuelekea Utete

Magengeni

Kibiti sokoni (soko lipo nyumba ya hilo jengo)

njiani kuelekea Kibiti wilayani Rufiji kwa vekesheni ya wikiendi.(picha zote na Mdau Jaffary)
at least umeweka taswira za nyumbani,asante mjomba.tuletee taswira zaidi za utete rufiji......
ReplyDeletehome sweet home,nakuzimia mimi.
ReplyDelete