HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, October 5, 2009

Libeneke La Majenereta Laanza Tena Bongo!!

Majenereta yakipiga kazi katika mitaa ya jiji la Darmuendelezo wa kupiga kazi kwa majenereta haya katika jiji la Dar na Nchi nzima kwa ujumla ni kutokana na kuanza kwa mgao wa umeme utakaodumu kwa kipindi kisichojulikana wa muda wa masaa 14 kwa kila siku (kuanzia saa 3:00 asubuhi mpaka saa 5:00 usiku) ,chanzo kikubwa cha mgao huo wa umeme katika Taifa letu hili,inasemekana ni kutokana kupungua kwa maji katika vituo vya kuzalishia umeme vya Kihansi na Pangani,na mgao huo haujulikani utamalizika lini maana mitambo ambayo inasadikika kuwa ndio ingeweza kusaidia kuweka sawa swala zima la umeme hapa nchini (ile ya Dowans) ndio iko katika kipingamivi kikubwa na Bunge letu tukufu kutokana na lile sekeseke la Richmond.
daah sijui hata itakuwaje maana hata shughuli haziendi sasa hivi kutokana na hili tatizo la umeme??

1 comment:

Post Bottom Ad