HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Monday, October 5, 2009

Cheka Alipomchakaza Kaseba

Bondia Japhet Kaseba akimtupia konde zito mpinzani wake Francis Cheka
Francis Cheka nae hakuwa nyuma katika kujibu mashambulizi kwa mpinzani wake Japhet Kaseba
Mambo hayakuwa mambo siku hiyo kwa Japhet Kaseba maana bondia Francis Cheka aliamua kumaliza kabisa ubishi wa nani mbabe kati yake na Japhet Kaseba baada ya kushinda pambano lao hilo lenye raundi 12 la uzani wa walter,Cheka alionekana kuingia na nguvu mpya kana kwamba awali alikuwa anausoma mchezo katika raundi ya nne kwani na kuweza kumchakaza vibaya mpinzani wake na kuweza kumpeleka chini katika raundi ya sita baada ya kumsukumia konde kali la mkono wa kushoto.hivyo ndinyi ilivyokuwa siku hiyo katika Uwanja wa zamani wa Taifa.picha kwa hisani ya Mwananchi

2 comments:

  1. Ukweli ni kwamba Kaseba umeidhalilisha Kick boxing, jamaa waliokushauri wako hapo kwa ajili ya maslahi yao na sio kukuendeleza kimchezo. Fikiri kwanza kabla ya uamuzi. Binafsi niliposikia unataka kucheza boxing na Cheka sikuwa na comments zozote, nilisema kimoyo moyo unapotea na kujidhalilisha. Nakupa pole sana mhashimiwa. Next time uwe makini na uamuzi wako.
    Mimi Mpenzi wa Kickboxing.

    ReplyDelete
  2. Mwanaume asifiwi kula ulijua kama mziki wa Cheka si wa kuuchekea

    ReplyDelete

Post Bottom Ad