HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Sunday, September 27, 2009

Washkaji

usiku wa jana katika katiza katiza zangu za kila siku nilipata zali kama la mentali vile kugumiana na washkaji wangu hawa,shoto ni Araway anaeishi mji kasoro bahari (Morogoro) na kulia ni Pascal anaeishi Zenjy,washkaji hawa pia wanapatikana kule kijiji cha jirani cha FotoBaraza.Net

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad