
vijana wa maeneo ya Ubungo wakisafisha mtaro uliokuwa umeoteana majani kwa wingi kiasi kwamba maji yalikuwa hayaendi kabisa kutokana na majani hayo,vijana hao waliamua kujitolea kufanya kazi hiyo baada ya kuona hali hiyo imekuwa ni kero katika maeneo hayo.
Poa sana,Manake pesa zakodi azitoshi na atazilizopo kwanza lazima zi EPA kwanza.
ReplyDelete