HABARI MPYA

Home Top Ad

Post Top Ad

Wednesday, September 16, 2009

Taswirazz Ya Bajaji Ikiwa Na Abiria Saba,Bongo Tambararee Wandugu

Naomba uwarushie wadau taswira hii ya bajaji ikiwa inakatiza mitaa ya katikati ya Jiji la Dar es Salaam ikiwa na abiria wengi jambo ambalo linahatarisha usalama. Juzi nilishuhudia taswira ya usafiri huu ukipata ajali madhara yake ni makubwa. Niombe vyombo vya usalama vijaribu kuzitupia macho bajaji ili sheria zisivunjwe kwa kisingizio cha usafiri wa bei rahisi eti na bongo yetu ni tambararee.

Nakushukuru sana
Mdau wa Mtaa Kwa Mtaa

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad