Kikosi cha Ras Nas kinachanganya wanamuziki toka Congo Brazzaville, Ivory Coast, Norway na USA. Wabongo wa Norway habari ndiyo hiyo!
Mwezi wa Desemba Ras Nas na bendi yake watatembelea miji ya Galle na Colombo Sri Lanka kuwasilisha Norway, (ofkozi na Tizedi vile vile) katika tamasha la muziki.
Mwezi wa Desemba Ras Nas na bendi yake watatembelea miji ya Galle na Colombo Sri Lanka kuwasilisha Norway, (ofkozi na Tizedi vile vile) katika tamasha la muziki.
Kwa habari zaidi fuatilia
Asanteni kwa kusoma habari hii.
Kongoi Productions
No comments:
Post a Comment