
hawa wasela nimewafuma maeneo ya Tegeta mchana wa leo wakiwa wamepakizana kwenye pikipiki kwa staili hii amabyo ni maarufu sana hapa bongo kama mishkaki,sasa sijui waliotunga hili jina walikuwa na maana gani? maana mie naunga tela tuu kwa kuita hivyo.
No comments:
Post a Comment