sagula sagula lazidi panda chati bongo,hapa wakina Mama wakichagua pamba za mtumba za kutinga ndani kama walivyokuwa na mpiga picha wetu siku za hivi karibuni.
No comments:
Post a Comment