
hapa ni Namanga kuelekea Morocco

hapa ni sivyuu kuelekea salenda bliji,ilikuwa ni fulu mvurugano katika barabara hiyoo

hapa ndio ilikuwa soo maana hizi ngoma zilijifinga funga ile mbaya,hata sijui kulikuwa na nini siku ya leo??mpaka alipotia timu mzee wa feva (hapo pembeni) ndio mambo yalianza kukaa sawa na nginga kuendelea kusonga kama kawa.hapa ni posta mpya jioni ya leo
kwanini madereva wabongo kila mtu ni mbishi anataka afike haraka ndio kinasababisha kufungana ukiacha foleni la kawaida ubishi wala sio solution ya kufika haraka.wangekuja huku wangeona watu walivyokua fea kwenye barabara ukiwa na haraka wanakuacha na haraka zako hawana ubishi kila mtu anajiona anagari anataka aonyeshe kilakitu hivi tutajifunza lini utii barabarani.
ReplyDeletemimi nadhani tungetengeneza barabara za juu .kwenye makutno unaweka kama daraja ambalo lipo x litasaidia.kila kwenye makutano ndio itasaidia
ReplyDelete